HISTORIA YA NDEGE  YA TAIFA KATIKA SEKTA YA ULINZI

HISTORIA YA NDEGE  YA TAIFA KATIKA SEKTA YA ULINZI

HISTORIA YA NDEGE  YA TAIFA KATIKA SEKTA YA ULINZI

Kwa miaka isiyo kuwa mbingi sekta ya ulinzi inchini Uturuki imeonesha matokeo makubwa katika operesheni za kijeshi . Katika mapambano dhidi ya makundi ya kigaidi inchini pamoja na inje ya inchi kupitia operesheni kama Tawi la Mzaituni pamoja na Firat Kalkanı (Operesheni ya Efratia ), imedhihirika kuwa inchi ya Uturuki haikutumia ispokua Bidhaa za Ulinzi wa Taifa pekee.

Matumizi ya silaha za ndani kama İHA pamoja na SİHA katika kurekebisha pamoja na shuhuli za kijeshi  yameweza ku uvutiya ulimwengu mzima. Miaka kadha tu hapo nyuma kidogo inchi yetu ya Uturuki haikuwa ispokuwa ni yenye kutegemeya msaada mkubwa kutoka katika inchi tofauti katika sekta ya Ulinzi, lakini kwa sasa upeo na uwezo wakutengeza vifaa madhubuti umekuwa mkubwa zaidi kwa sababu inchi ime piga atuwa nakujitengenezea meli ya ulinzi wataifa, vifaru, rada, marubani, silaha  na satelaiti pekee ulimwenguni. Hatuwa hii katika sekta ya ulinzi  nchini kwetu ni matokeo ya michango ya makampuni tofuati katika sekta ya ulinzi na yaki jeshi, na hasa hatuwa zilizochukuliwa katika miaka 15 iliopita na uongozi mzuri. Jina la “Demirağ”  limepatikana kutokana na jitihada zake katika kuendeleza mtandao wake wa reli.

Nuri Demirağ: “Mshindi tai nanga juu ya bawa ya ndege”

Wakati tukiitazama historia ya sekta ya ulinzi Uturuki , eskta ya ulinzi imekuwa ni sekta ambayo haina msaada wa kutosha kutoka kwa watawala (viongozi) licha ya kujitolea na juhudi kubwa. Ni mwaka 1930, hadithi ya maisha ya Nuri Demirağ, mjasiriamali maharufu kutoka Divriği inchini Uturuki, inaonesha kwa miaka mingi kwanini tumekosea katika skta za ndani. Alitia dazeni za miradi mikubwa sana kwa ajili ya maendeleo ya nchi. Mwaka 1939, miradi hiyo ilianza kuunda ndege, na kufungua vyuo kadhaa vya marubani. Nuri Demirağ “ushindi siyo kofiya ya mtutu, tai la ushindi hupatikana mwisho wa mtutu,nanga yake huchukuliwa mbali kwenye tawi la sayari” alisema hivyo kila alipokuwa akionesha umuhimu wa sayari. Siyo katika maneno, aliweka ukuta wa kwanza katika ujenzi wa kiwanda cha ndege na hivyo mwaka 1939 kwa mara ya kwanza ndege ikatengenezwa.

Lakini kilichotokeya kwake haikuwa kama kuchukuwa akili. Pamoja na hivo, yaliyotokeya auwal mwaka 1933 katika jitihada zaku inuwa sekta ya nishati iliyo ambatana na mradi wa bwawa katika msimu wa Nafia Vekili chini ya uongozi wa bwana Ali Çetinkaya  haya kutokwa matunda mazuri. Ali Çetinkaya ni mmoja kati yawakina Ali wa tatu wa mwanzo waliyo wahi kuitumikiya mahakama za İstiklal. Kabla Demir ajawakilisha mradi huo kwa muheshima maswali yalikuja kama ifwayo:”Ndio Bwana Nuri, unataka kutengeneza Bwawa, utafanya je, watu gani utatumika nao, utajikwa mua aje katika mradi mkubwa kama hu? Tutegemeye umefaulu kuinua mradi huo, watu gani utawauzia nishati hiyo? Licha ya mazungumzo kuanza na kaubaridi, Demir pamoja na wahandisi wenzi wake walikuwa tayari kuimarisha mradi huo. Kwasababu, ripoti aliyo andaa  ilikuwa na majibu tosha na ziada yanayo husu maswali yote ya muheshimiwa Ali Çentikaya. Licha yakuwa kiongozi alichukuwa muda naku zisikiya hoja za wahandisi pamoja na Demirağ, hakuwa tayari kuruhusu mradi huu kutendeka.

Demirağ aliposema “saula hili linahusu maisha ya baadae kwa inchi yetu”, maneno hayo hayakumfurahisha hata kidogo kiongozi (Bwana Ali Çentikaya), na kuyatowa maneno mazijo: lini maisha ya kesho ya inchi nijukumu lako? Kama ya itajika jambo linalo husu inchi, basi watu teule ni sisi , hayo majukumu niya kwetu wala siyo ya kwako wewe. Licha ya maneno mazito, mwaka 1933 mradi wa Bwawa Keban ulikamilika na mpaka sasa bwana hilo lina miaka 10. Kutokana na meneja kabambe miradi muhimu na yenye kudumu itaanza kufanywa baada ya miaka 33.

Demirdağ  alikabidhiwa  mradi wa  wa ujenzi wa ndege kutoka katika shirika la THK mwaka 1937 na kununuliwakwa ndege 10 ambazo ziliztumiwa katika mazoezi na majaribio. Demirdağ malkuwa akifanya kazi usiku na mchana na washirika wake. katika majaribio alishirikiana na watu 65 ambao walihusika na  na kurusha ndege hizo. Baada ya kifo cha baba wa taifa Mustafa Kema Atatürk mapambano ya kisiasa  yalianza mwaka 1938.

Baada ya majaribio hayo kulitolewa ripoti ambayo ilionesha kuwa majaribio yaşikuwa ya mafaanikio na ufundi ulikubalian na jambo hilo. Ndege hizo zilikataliwa.  Moja ya ndege hizo ilianguka katika uwanja wa ndege wa Eskişehir kutokana na udogo wa uwanja  katika kipindi hicho.


Tagi: ulinzi , Uturuki

Habari Zinazohusiana