Tamasha la taa nchini China

Tamasha la kitamaduni China

1592243
Tamasha la taa nchini China

Barabara zilipambwa kwa taazenye rangi katika Tamasha la jadi la Taa lililofanyika katika mji wa Yangliuqing, Tianjin kaskazini mwa China.

Taa zenye wahusika wa katuni, taa nyekundu zilizopamba majengo, na taa za neon ziliangazia mji usiku.

Tamasha hilo liliadhimishwa wakati huo huo huko Taiwan.Habari Zinazohusiana