Ladha na Mapishi kutoka katika Karsi ya Mfalme mkoani Bursa

Ladha na Mapishi kutoka katika Karsi ya Mfalme mkoani Bursa

1445207
Ladha na Mapishi kutoka katika Karsi ya Mfalme mkoani Bursa

 

Leo katika kipindi chetu  tutakupikinie  chakula cha kşfalme kama ilivyo katika kipindi chetu kila wiki. Tutajkupikieni chakula cha Uthmania katika mkoa wa Bursa , mkoa ambao ulikuwa pia mji mkuu wa Himaya ya Uthmania.
Chakula ambacho tutakuandaliwa wiki hii ni ubwabwa wa randi. Tutapika katika kijiji Cumalıkızık, kijiji ambacho kimeorodheshwa katika urithi wa dunia na UNESCO.
Kabla ya kuanza  mapishi yetu kwa siku ya leo  tutemeblee kwanza  jengo la Yunus Emre Akkor mjini Bursa.
 
Orodha ya vifaa ambavyo vinahitajika kwa kuandaa chakula chetu cha leo
Kikombe kimoja cha mchele

Gramu  50 za aina ya karanga 
Gramu  50  za pine nut 
Gramu 50 za pistachio 
Framu 50 za zabibu 
Gramu  100 za sweet shest 
 vijiko viwili vya siagi 
bizari 
chumvi , pilipi nyeusi na bdalasiniHabari Zinazohusiana