Mapishi na Ladha ya Chakula katika Karsi ya Mfalme, Urfa

Mapishi na Ladha ya Chakula katika Karsi ya Mfalme, Urfa

1421509
Mapishi na Ladha ya Chakula katika Karsi ya Mfalme, Urfa

 

Leo katika kipindi chetu  wiki hii tutakupikieni na kukuelekezeni namna ya kupika  moja miongoni mwa mapishi katika karsi ya Mfalme katika kipindi cha Himaya  ya Uthmania. Tumetembelea Şanlıurfa, kituo cha kwanza cha sayansi na elimu ulimwenguni. Tutakupikieni  "Borani" katika jengo moja la kale lenye zaidi ya miaka  700.
Vitu ambavyo  tunatakiwa kuwa navyo tunapotaka kutaarisha chakula chetu cha leo kama vifaa vifuatavyo :

Kilo 1 ya nyama ya kondoo 

Glasi moja la "aina ya maharagwe"  

Glasi  moja ya pilpili 

Fungu moja la viungo 

Kijiko kimoja cha chumvi 

Kijiko kimoja cha pilipili manga 

Lita 2 za maji 

Vijiko viwili vya sutu  ya "ghi"

Gramu 50  ya mafuta 

Kwa ajili  ya madonge :

 Glasi 3 za  ngano iliosagwa

Kijiko kimoja cha nyanya ya kusagwa 

Vijiko viwili  vya "supu" ya pilipili 

Yai 

Kijiko kimoja cha chumvi 

Kijiko kimoja cha pilipili manga

Maji 

Galasi 2 za mafuta kwa ajili ya kukaanga madonge.Habari Zinazohusiana