LADHA TAMU ZA KİSULTAN

Mapishi ya kitoweo cha nyama yenye ladha ya Utamu maarufu huko Manisa

LADHA TAMU ZA KİSULTAN

Hii ni sehemu ya 1 ya kipindi chenye sehemu 16 cha mapishi ya ki Ottomani. Katika sehemu hii tutashuhudia jinsi ya kupika chakula cha nyama yenye ladha ya utamu maarufu sana huko Manisa.

            Ili kupika chakula hiki unahitaji:     

 

                Nyama ya kondoo (shingo)Kuzu Gerdan  kg.  1

                Vitunguu maji vya ukubwawa wastani      2

                 Siagi  gr. 200

                Asali (jam) ya zabibu  gr 100 gr

                Chumvi

                Mdalasini

                Pilipili hoho

 

                Bonyeza kuangalia jinsi ya kupika chakula hii, Mpishi mkuu – Mtafiti wa utamaduni  Mh. Yunus Emre Akkor anaelezea.Habari Zinazohusiana