Neno " Inshallah" laingizwa katika kamusi ya kijerumani

Neno " Inshallaha" ambalo hutumika sana katika mazungumzo ya kila siku ya waislamu limeingizwa katika kamusi maarufu ya mtandaoni ya kijerumani

Neno " Inshallah" laingizwa katika kamusi ya kijerumani

Neno “INSHALLAH” ambalo hutumiwa sana katika maisha ya kila siku ya waislamu laingizwa katika kamusi ya Kijerumani.

Kamusi  inayokubalika kwa umuhimu nchini Ujerumani yenye miongozo ya unyambulishaji na ufafanuzi wa maneno katika ukurasa wa mtandao wa Intanet wa Duden imelijumuisha neno “Inshallah” ambalo kwa kijerumani limeandikwa kama ''inschallah''.

Katika kamusi hiyo neno “ Inshallah” maana yake ni “Mungu akipenda”.

Haijafahamika kama katika chapisho la kitabu  lijalo la kamusi ya Duden neno hilo litajumuishwa.

 Habari Zinazohusiana