Catherine Zeta-Jones na mumewe Michael Douglas wawasili Istanbul wakitokea Dar es salaam

Nyota wa filamu za Hollywood Catherine Zeta-Jones na mumewe Michael Douglas wakiwa na watoto wao waendeleza mapumziko Istanbul mara baada kutoka Afrika

Catherine Zeta-Jones na mumewe Michael Douglas wawasili Istanbul wakitokea Dar es salaam

Nyota wa filamu wa Hollywood Michael Dougla na mkewe Catherine Zeta-Jones wawasili Istanbul wakitokea Tanzania.

Nyota hao waliwasili kwa kutumia ndege ya shirika la ndege la Uturuki wakiwa na watoto wao Dylan (19) na Carys (16) wakitokea Dar es salaam, Tanzania.

Familia hiyo ya waigizaji nyota inaendeleza mapumziko jijini Istanbul, mara baada ya kumaliza mapumziko Afrika.

 Habari Zinazohusiana