Uturuki na utalii: Diyarbakir

Mkoa wa Diyarbakir, ardhi ya tamaduni 33 tofauti katika historia

Uturuki na utalii: Diyarbakir

Dayarbakir ni mji ambao unapatikana  nchini Uturuki katika eneo la Anatolia Kusini-Mashariki. 

Kutokana na uwepo wake wa kijeografia, tamaduni tofauti katika historia zilikuwa zikivutiwa  na mji huo na kutaka kuunfaka kuwa mji wake mkuu. Tmaduni hizo zaidi ya 33 ziliacha  ishara zak katika aneo hilo ikiwa pamoja na barabarara, miskiti, makanisa, madaraja na viashirio vingine vinhgi vya tamaduni katika historia ya tamaduni zilizo ishi katika eneo hilo.Mkoa wa Diyarabakir ilipoke zaidi ya tamaduni 33 katika historia ikiiwemo utamaduni wlwa Hurita, Asirian, Frasi, Rumi, Bizantini, Abasi, Selchuklu na utawala wa dola ya Uthamania.  Eneo hilo la Diyarbakir lilikuwa kama mlango wa Asia kueşlekea Ezopotamia. Eneo hilo lililkuwa  na umuhimu   mkubwa katika biashara ya hariri ambayo ilikuwa moja ya chanzo cha kuimarisha uchumi katika kipindi hicho.

Eneo hilo  lilikuwa eneo la  Khans muhimu  na madaraja mazuri.  Eneo la kşhsitoria Diyarbakir ni pamoja na mnara wa Hevsel na maeneo mengine yakihistoria  katika mji huo.

 Kunapatikana mabaki ya kihistoria ya tmaduni tofauti katika eneo la Diyarbakir Uturuki , mabaki hayo yana zaidi ya miaka 7000.

 Unaweza kuona mabaki ya kihistoria pindi utakapotembelea mkoa wa Diayarbakir, vitu vya  kale ni pamoja na  marumaruambazo zilizkuwa zikitumiwa katika vipindi tofauti kama vifaa ambavyo vilikuwa vikitumika kwa mahitaji maalumu.

Kuna ukuta mkubwa wa kihistoria ambao ni ukuta mkubwa ulimwenguni   baada ya  ukuta  wa China ambao unaongoza.

Matunda  na mboga za majani ni moja ya  mali  ambazo jiji la Diyarbakir linaweza kujivunia.

Udongo wa Diyarbakir ni  udongo wenye rutba kutoka na maj ya mto wa  Tiger.

Bustani ya Hevsel   ni pepo ya ndege, kunapatikana ndege wa kila namna katika bustani hiyo Kusini-Mashariki mwa Uturuki.

Zaidi ya  aina 180 za ndege zinapatikana katika anga hilo. Madhara yake  huwafurahisha watalii kutoka katşka maeneo tofauti ulimwenguni.

Jiji la Diyarbakir limeorodheshwa na shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Utamaduni na sayansi UNESCO. Ni uridhi wa 14 wa ulimwengu.

Tungependa kualika kutembelea jiji la Diyarbakir, kutembelea bustani ya Hevsel, soko la Sipahiler, Khan Hasan Paşa, mskiti mkubwa, kanisa la  mama Mariam,  majumba ya kale ya Diyarbakir  na  majumba ya makumbusho.

Mnakaribishwa pia  kuonja chakula cha ”nardan aşı” .Habari Zinazohusiana