Mwanamuziki  mashuhuri  mwenye asili ya Algeria aaga dunia nchini Ufaransa

Rashid Taha ,  mwanamuziki  mwenye asili ya Ageria amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 59 mjini Paris nchini Ufaransa

Mwanamuziki  mashuhuri  mwenye asili ya Algeria aaga dunia nchini Ufaransa

Rashid Taha ,  mwanamuziki  mwenye asili ya Ageria amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 59 mjini Paris nchini Ufaransa

Rashid Taha amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 59 mjini Paris kwa matatizo ya moyo.

Jarida la Le Parisien limetangaza kifo cha mwanamuziki huyo  baada  ya kupata taarifa kutoka kwa familia ya Rashid Taha.

Moja miongoni mwa vibao vyake  vilivyompa umashuhuri ni "Ya Rayah", "Abdel Kader" na "Ida".

Rashid Taha alikuwa akifahamika katika muziki wa miondoko ya Rai kama Khaled na Faudel Afrika Magharibi.

Muziki wa Rai ulichangia  katika harakati za kupigania uhuru  Algeria na ukoloni wa  Ufaransa.Habari Zinazohusiana