Justin Bieber amchumbia Hailey Baldwin

Mwanamuziki nyota wa Canada Justin Bieber amchumbia mwanamitindo wa Marekani Hailey Baldwin

Justin Bieber amchumbia Hailey Baldwin

Mwanamuziki nyota wa Canada Justin Bieber amchumbia mwanamitindo wa Marekani Hailey Baldwin

Mwanamuziki nyota wa miondoko ya Pop kutoka Canada Justin Bieber amemchumbia mwanamitindo maarufu nchini Marekani Hailey Baldwin  katika hafla ilioandaliwa Bahamas.

Kwa mujibu wa taarifa zizlizotolewa na vyombo vya habari  Bahamas Beiber mwenye umri wa miaka 24 amemchumbia Hailey mwenye umri wa miaka 21 Jumamosi  usiku katika visiwa vya bahama.

 

 Habari Zinazohusiana