Watu wapata mlo wa pamoja wakiwa wamevaa nguo nyeupe kama moja ya utamaduni Marekani

Mlo wa pamoja,Marekani

796228
Watu wapata mlo wa pamoja wakiwa wamevaa nguo nyeupe kama moja ya utamaduni Marekani

Utamaduni wa watu kula kwa pamoja wakati wamevalia nguo nyeupe unaendelezwa jijini New York.Watu zaidi ya elfu tano wamekusanyika mjini New York wakiwa wamevaa nguo nyeupe kwa ajili ya kupata mlo wa usiku.Utamaduni huo ulianza Ufaransa miaka 30 iliyopita.Hii ni mara ya saba kwa utamaduni huo kufanywa Marekani.Habari Zinazohusiana