Tuzo ya sanaa na utamaduni kutoka ofisi ya rais

Tuzo ya sanaa na utamaduni inayotolewa na ofisi ya rais nchini Uturuki imepata washindi wake

599722
Tuzo ya sanaa na utamaduni kutoka ofisi ya rais

Tuzo ya sanaa na utamaduni inayotolewa na ofisi ya rais nchini Uturuki imepata washindi wake wa mwaka huu.

Tuzo hiyo ilitolewa kwa Mustafa Kutlu ambaye ni mwandishi, mwanahistoria mkongwe Profesa Kemal Haşim Karpat, mwanamuziki Erol Parlak , mwigizaji wa filamu Şener Şen, msanii wa miundo ya ebru Feridun Özgören pamoja na mshairi na mchoraji maarufu Süheyl Ünver.

Tuzo hizo hutolewa kila mwaka nchini Uturuki kwa ajili ya heshima na kutambua kazi bora za kihistoria, sanaa na utamaduni zinazochangia pakubwa sekta hizo.Habari Zinazohusiana