Miaka mitano toka jaribio la mapinduzi Uturuki

15 JULAI

Ni miaka mitano toka kundi la kigaidi la Fetullah (FETÖ) lijaribu kufanya mapinduzi nchini Uturuki. Magaidi walijaribu kufanya mapinduzi nchini Uturuki tarehe 15 mwezi Julai mwaka 2016. Wananchi 251 waliuawa katika tukio hilo la kihaini. Hizi ni baadhi ya picha za kuwaenzi na kuwakumbuka wale wote waliopoteza maisha na kutosahau kile kilichotokea.


Tagi: 15 Julai , jaribio , mapinduzi , Uturuki