Sherehe ya Mesut Özil kufanyika Jumatano

Sherehe ya kusainiwa kwa Mesut Özil,

1570758
Sherehe ya Mesut Özil kufanyika Jumatano

Sherehe ya kusainiwa kwa Mesut Özil, mchezaji nyota wa mpira wa miguu Fenerbahçe aliyehamishwa kutoka timu ya Arsenal ya England, itafanyika Jumatano, Januari 27.

Taarifa iliyotolewa na kilabu, imesema sherehe itafanyika katika Istanbul kuanzia saa 15.00.Habari Zinazohusiana