Mashindano ya baiskeli yaahirishwa Italia

Mashindano ya baiskeli ya Ulaya,yaliyokua yamepangwa kufanyika Italia yameahirishwa.

1410613
Mashindano ya baiskeli yaahirishwa Italia

Mashindano ya baiskeli ya Ulaya,yaliyokua yamepangwa kufanyika Italia yameahirishwa.

Kwa mujibu wa habari,mashindano hayo ya kuedesha baiskeli barabarani yalikua yamepangwa kufanyika mnamo tarehe 9-13 mwezi Septemba Tretino nchini Italia.

Kutokana na tahadhari zinazochukuliwa dhidi ya mambukizi ya virusi vya corona,mashindano hayo yameahirishwa.

Katika taarifa iliyotolewa na Jumuiya ya Baiskeli ya Ulaya (UEC), imetangazwa kuwa mashindano hayo yatafanyika hapohapo Italia mwaka 2021.

Maelezo kamili juu ya tarehe mpya ya mashindano hayo hayajatolewa lakini shirika hilo limesema kuwa kuna uwezekano wa mashindano hayo kufanyika tarehe 1-5 Septemba au tarehe 8-12 Septemba.

 Habari Zinazohusiana