Football / Super Lig : Fatih Terim atangaza kuwa amepimwa na kupatikana na virusi vya corona

Mkufunzi wa kihistoria wa kabumbu nchini Uturuki ametangaza kuwa amepimwa na kupatikana akiwa ameambukiwa virusi vya corona

1384375
Football / Super Lig : Fatih Terim atangaza kuwa amepimwa na kupatikana na virusi vya corona


Mkufunzi wa kihistoria wa kabumbu nchini Uturuki ametangaza kuwa amepimwa na kupatikana akiwa ameambukiwa virusi vya corona.

Fatih Terim, mkufunzi wa kihistoria wa  kabumbu nchini Uturuki ametanza Jumapili kuwa amefanyiwa vipimo na kupatikana akiwa na virusi vya corona.

Terim amefahamisha kuwa  majibu ya vipimo alivyofanyiwa   yameonesha  kuwa ameathirika na virusi vya Covid-19.

Terim katika ujumbe aliotoa kupitia ukurasa wake Twitter ametuliza  nyoyo za mashabiki wake akiwahakikishia kuwa yupo  katika mikono salama wasiwe na hofu.

Ni pigwa kubwa na wachezaji wa timu ya Galatasaray.Habari Zinazohusiana