Kerem Kamal ashinda medali ya shaba  katika mashindano ya mieleka Roma

Kerem Kamal ashinda medali ya shaba katika mashindano ya mieleka uzani mwa kilo 60 Roma

Kerem Kamal ashinda medali ya shaba  katika mashindano ya mieleka Roma
2020_02_can.jpg
2020_02_cenk.jpg


Kerem Kamal ashinda medali ya shaba katika mashindano ya mieleka uzani mwa kilo 60 Roma.
Katika mashindano ya mieleka  mjini Roma, Kerem Kamal ameshinda medali ya shaba katika uzani wa kilo 60.
Wacheza mieleka wa Uturuki wameshinda medali tatu  Jumatano katika mashindano ya Ulaya ambayo yanafanyika mjini Roma nchini Italia.
Kerem Kamal ameshindwa na  hasimu wake kutoka nchini Armenia Gevorg Gharibyan katika mzunguko wa mwisho.
Muamuzi amempa ushindi Gevorg mwisho wa mchezo kwa kuonekana kutumia ufundi katika pambano hilo kati yake na Kamal.
 Habari Zinazohusiana