David Moyes ndio kocha mpya West Ham United

Mara baada ya kibarua cha Mannuel Pelegrin kuota nyasi, Moyes achukua mikoba

David Moyes ndio kocha mpya West Ham United

Mara baada ya kumtimua kocha wake raia wa Chile, Manuel Pellegrini timu ya ligi kuu ya Uingereza, West Ham United imemtangaza David Moyes kuwa ndio kocha mpya atakayekinoa kikosi chao.

Timu ya West Ham United imeingia makubaliano ya mwaka 1.5 kocha huyo mwenye umri wa miaka 56 raia wa Uskochi.

Moyes baada ya kukinoa kikosi cha Everton kwa miaka 11, alihamia Manchester United kisha Real Sociedad na baadae Sunderland.Habari Zinazohusiana