Mourinho kurudi Oldtrafford

Mashabiki watampokeaje ndio habari iliyovuta hisia za wachambuzi

Mourinho kurudi Oldtrafford

Wiki ya 15 ya mashindano ya ligi kuu ya Uingereza kushuhudia mchezo utakaoikutanisha miamba…

Jose Mourinho ambaye msimu uliopita alitimuliwa Old Trafford, kurudi tena katika dimba hilo safari hii akiwa anakiongoza kikosi cha Spurs.

Ni jinsi gani mashabiki wa Man U watampokea “the special one” limekuwa ndio suala la mjadala mitandaoni.

Mchezo kati ya Manchester Unt na Tottenham Hot Spurs utapigwa kesho majira ya saa 22.30 muda wa Uingereza.Habari Zinazohusiana