Uturuki yashinda  medali 5 katika mashindano ya riadha  barani Ulaya

Wanariadha wa Uturuki washinda medali 5 katika mashindano ya riadha barani Ulaya yaliofanyika nchini Ujerumani

Uturuki yashinda  medali 5 katika mashindano ya riadha  barani Ulaya

 

Wanariadha walioshiriki katika mashindano ya riadha barani Ulaya wakiiwakilisha Uturuki  wamejishindia medali 5   za ushindi katika mashindano  hayo yaliofanyika mjini Berlin nchini Ujerumani.

Mashindano ya riadha  yaliokuwa yakifanyika  mjini Berlin yamemalizika huku Uturuki ikijipatia medali zake 5.  Medali moja ya dhahabu, mbili za fedha na mbili nyingine za shaba.

Ramil Guliyev alishinda medali ya dhahabu  mita 200 na medali nyingine kunyakuliwa na  Jak Ali Harvey na Yasemin Can.

Uingereza imeongoza katika  mashindano hayo kwa kujipatia medali 18.Habari Zinazohusiana