Leo Katika Magazeti ya Uturuki

Leo Katika Magazeti ya Uturuki

1392682
Leo Katika Magazeti ya Uturuki

Habertürk " Karibu n uwanja wa ndege wa Atatürk na  Sancaktepe kutajengo hospitali mbili"

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan asema kuwa umechukuliwa uamuzi wa kujenga hospitali mbili  mabazo malengo yake ni kupambana na virusi vya corona. Hospitali hizo zitajengwa mjini Istanbul. Rais  Erdoğan ameyafahamisha  hayo baada ya kumalizika mkutano  ambao uligubika na hatau ambazo zinastahili katika makabailaino dhidi ya Covid-19. Rais Erdoğan ameendelea kufahamisha kuwa hatua nyingine zitaendelea kuchukuliwa iwapo itahitajika kwa  kuwa hatua hizo malengo yake ni kupunguza  na kuzuia  maambukizi ya virusi vya corona. Viyando 1000 na ujenzi wa hospitali hizo utachukuwa muda wa siku 45.

Sabah " Wamuandikia barua rais wa Jamhuri ya Uturuki rais Erdoğan na kumuomba msaada katika juhudi za kupamba na na vcovid-19"

Wamuandia barua rais wa Jamhuri ya Uturuki na kumuomba msaada katika kupambana na virusi vya corona.  Katika eneo ambalo nalo limeathirika kwa virusi vya Corona  baraza la Bosnia limeomba msaada  Uturuki  katika juhudi za kupambana na virusi vya corona. Waziri wa mambo ya nje wa Makedonia Nikola Dimitrov  amefahamisha kuwa nae ameomba msaada kutoka Uturuki.

Hürriyet " Tiba ya kwanza kwa kutumia  vimelea katika damu  yafanyika Malatya dhidi ya virusi vua corona baada ya China"

Tiba kwa kutumia vimelea vya damu inayofahamika kitaalamu iliofanywa kwa mara ya kwanza nchini imefanyiwa utafiti na kugunduliwa na wanasayansi katika chuo kikuu cha Turkut Özal mkoani Malatya.  Kwa asililimia  80  ya matibabu kwa kutumia vimelea hivyo  imeonesha matokeo chanya  na kila mgonjwa aliepona ameombwa kutoa vimelea hivyo  kwa wagonjwa wengine.

Yenişafak " Habari nje ya Uturuki kutoka Fitch Ratings, uchumi haototetereka"

Uchumi ulimwenguni umekwishaathirika katika mataifa tofauti  kutokana na janga la virusi vya corona kama inavyofahamishwa na Fitch Ratings kuhusu Uturuki.  Douglas Winslow  amesema kuwa  ukuwaji wa uchumi katika kipindi cha kwanza cha miezi mitatu ya mwanzo mwaka 2020 Uturuki  upo salama na kutabiriwa kuwa asilimia  4,5 mwaka  2021.Habari Zinazohusiana