Leo Katika Magazeti ya Uturuki

Leo Katika Magazeti ya Uturuki

Leo Katika Magazeti ya Uturuki

Yenişafak " Mataifa  69 yaomba msaada kutoka Uturuki, msaada umetolewa kwa mataifa  17"

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan amezungumza kuhusu virusi vya corona.  Rais wa Uturuki amewahakikishia raia wake kuwa  kutokana  na juhudi janga la korona litatokomezwa katika siku chache zijazo na kuwa maisha ya kawaida kama ilivyokuwa hapo awali.  Raia wetu ni muhimu kuliko kitu chochote kile amesema rais Erdoğan .  Ni mataifa  69 yameomba ushirikiano na msaada kutoka Uturuki , mataifa  17 tayari ymepewa msaada kutoka Uturuki.

Vatan " Waziri wa afya atoa idadi ya watu walipona corona" 

Waziri wa afyya wa Uturuki Fahrettin Koca amefahamisha kuwa  muathirika mmoja wa virusi vya corona  mwenye umri wa miaka  65 aliokuwa akipatiwa matiba katika chumba cha dharura kwa muda wa siku 8   hospitali ameruhusiwa  kutoka baada ya kuonekana akiwa na afya njema.  Idadi ya watu ambao  wamepona  virusi Covid-19 Uturuki  ni watu 26.

Sabah " Bakan Albayrak: Tuatanza na mashika  yetu"

Waziri wa uwekezaji wa Uturuki Berat Albayrak amesema katika juhudi za kupambana na virusi vya corona,  kutatolewa  fuko ambalo  malengo yake ni kuinua mashirika ambayo yatakuwa yameathirika na virusi  vya corona. Zoezi hilo litafaanikishwa kwa ushirikiano na benki  kuu na taasisi nyingine husika.

Star "dawa kufanyiwa majaribio nchini Marekani"

Dawa  ya kutibu virusi vya  corona kuanza kutumiwa New York nchini Marekani.Habari Zinazohusiana