Leo Katika Magazeti ya Uturuki

Leo Katika Magazeti ya Uturuki

1384551
Leo Katika Magazeti ya Uturuki

Haber Türk: “Uumbe  kuhusu virusi vya corona kutoka kwa rais Erdoğan ”
Rais Recep Tayyıp Erdoğan amepeperusha viideo katika ukurasa wake wa Twitter amekuzungumza kuhusu mkutano aliofanya na makamu wake Fuat Oktay na mawaziri wengine  na kusema kuwa anafuatilia kwa karibu  taasisi zote kwa  kaza wanazofanya katika kupambana na virusi vy  corona.  Rais Erdoğan amefahamisha kwamba hatua zitandelea kuchukuliwa iwapo zitahitajika kwa malengo ya kuendelea kuzuia maambukizi ya virusi hivyo.

Hürriyet: “Hatua zachukuliwa kuhusu chanjo wa taifa zima”
Waziri wa afya wa Uturuki Fahrettin Koca amesema kuwa kuchukuliwa hatua ya chanjo mpya  dhidi ya Covid-19. Kitengo kinachohusika na chanjo katika wizara ya afya  kinachukuwa hatua  zitakazopelekea kuanzishwa chanjo .  Wizara ya uwekezaji  imefahamisha kuwa inaunga mkono juhudi  zote za wanasayansi zilizo na matumaini katika  kulishinda janga la virusi vya corona.

Yeni Şafak: “ Kifaa kilichotengenezwa na wanasayansi wa Uturuki kupima Covid-19"
 
Kifaa kilichotenegenezwa na  shirika la teknolojia mjini Ankara kina uwezo wa kupima virusi vya corona  na kutoa majibu baada ya dakika 10 hadi 20.  Mtavifiti na mwanasayansi  Daktari Senem Şimşek mesema kuwa kifaa hicho  kitatumwa nchini Rumania na katika mataifa mengine ya Ulya na Mashariki ya Kati. 

Star: “Kitengo cha kupamba na cirusi vya korona chafunguliwa katika wiizra ya ulinzi ”
 Kituo maalumu kwa ajili ya kupambana na virusi vya corona chafunguliwa  wizara ya ulinzi ya Uturuki. Waziri wa Ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar amesema kuwa  usiku na mchana kitengo hicho kinafanya kazi yake kuhakikisha kuwa wanajeshi wetu hawaathiriki katika uwanja wa mapambano dhidi ya maadui. AKar amesema kuwa hadi kufikia sasa hakuna kesi yeyote ambayo imekwisharipotiwa.


Sabah: “ Mjumbe wa kamati ya  Yamanel  kuongeza juhudi na kutoa mchango wake katika kupamba na na corona"
Machama wa kamati  ya wanasayansi katika wizara ya afya kuhusu virusi vya corona  chini ya uongozi na dakatari Levent Yamanel  imefahamisha kuwa madawa yalionunuliwa kutoka China  yameanza kutolewa kwa  waathirika wa  Covid-19. Daktari Yamanel amesema kuwa matokeo  chanya  hataanzo kuonekana baada ya matumizi ya madawa hayo.Habari Zinazohusiana