Leo Katika Magazeti ya Kimataifa

Mukhtasari wa Magazeti ya Kimataifa 26.05.2021

1645781
Leo Katika Magazeti ya Kimataifa

El-Raya al-Qataria (QATAR): Jumuiya ya Ulaya inakubali maombi ya pasipoti ya chanjo.

Yeni Hayat (Palestina - Ukingo wa Magharibi): Rais wa Palestina Mahmoud Abbas ampokea Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken.

 

Euronews.de: Uturuki yazindua mazoezi ya kijeshi na wanajeshi 25,000 katika Bahari la Mediterania na Aegean.

Deutsche Welle: Rais wa Syria Bashar Assad atabaki kwa muda usiojulikana - Wasyria kumchagua rais leo wakati wa shida ya uchumi na janga la corona.

Frankfurter Allgemeine Zeitung: Federal Cartel Office ya Ujerumani inashtaki Google.

 

Le Figaro: Syria: Washington na Ulaya zinalaani uchaguzi wa urais "usio wa huru wala haki"

Le Parisien: Covid-19: (Rais wa Ufaransa Emmanuel) Macron "anauhakika sana" juu ya Ufaransa, licha ya "uoga mkubwa".

FranceInfo: Usafirishaji wa vitu vya kale: mabaki yaliyokamatwa "kuongeza uelewa wa umma" yanaonyeshwa kwenye Jumba la kumbukumbu la Louvre.

 

El País, Uhispania: Mataifa nchini Uhispania yalikubaliana kugawana watoto 200 wahamiaji walioingia nchini kutoka Ceuta.

El Mundo, Uhispania: Waziri Mkuu wa Uhispania, Pedro Sánchez anaonyesha kuwa mchakato wa Kikatalani (tamko la Uhuru wa Oktoba 2017) litawasamehe wafungwa wake. "Kulipiza kisasi hakuna nafasi kati ya maadili ya kikatiba".

La Vanguardia, Uhispania: Huko Ecuador, rais mpya Guillermo Lasso alichukua madaraka, akikataa mfumo wa utawala wa kidemokrasia.

 

bfm.ru new site: Rais wa Marekani Joe Biden alisema kuwa kuweka vikwazo kwa ujenzi wa bomba la Urusi la "Nord Stream-2" hakuna tija (ni madhara badala ya faida).

TASS Agency: Ndege za ushambuliaji wa masafa marefu zilizotumwa kwa kituo cha kijeshi la Urusi cha Hmeymim huko Syria, zilifanya safari za mafunzo juu ya anga ya Mediterania.

Lenta.ru: Ilibainishwa kuwa zaidi ya rubles bilioni 1 zilizoibiwa za Shirika la Anga la Urusi la Roskosmos zilisafirishwa Hong Kong na Falme za Kiarabu.Habari Zinazohusiana