Leo Katika Magazeti

Leo Katika Magazeti

Leo Katika Magazeti

Al Quds Al Arabi: Wafungwa watangaza hofu yao dhidi ya uhatari wa virusi vya corona nchini Misri, Syria na Irak.  Wafungwa 
 Mamlaka ya wapalestina   wameomba kuokolewa na janga la virusi vya corona kabla ya gereza lao kuwa  kaburi la halaiki.

Al Sharq Al Awsat: Idadi  ya watu waliofariki kwa virusi vya corona nchini Uhsipania yashindi ile ya watu waliofariki nchini China.

Al Raya Al Qatariya:  makubaliano kati ya serikali na wanagambo wa Taliban, wafungwa wataachwa huru ifikapo Machi 31.

t-online.de:  Kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel apimwa virusi vya corona  kwa mara ya pili, majibu  yanesha hana maambukizi.

swp.de: Kitengo cha utafiti cha Robert Koch :  Ujerumani na  mapambano dhidi ya virusi vya  Covid-19.

dpa:  wanafunzi wa  kituruki waliokuwa nje  ya nchi warejeshwa Uturuki.

El País (Uhispania): waziri wa kwanza wa Uhispania Pero Sanchez aungwa  mkono  na bunge  licha ya kushambuliwa na upinzani.

El Mundo (Uhispania):  Uhispania imenunua mask  milioni  52 kwa kuwa  wizara ya afya  haikuchukuwa hatua haraka za kuzuia maambukizi ya Covid -19.

Infobae (Argentina):  nchini Argentina Habari Zinazohusiana