Japan yaidhinisha utumiaji wa Moderna na AstraZeneca

Japan imeidhinisha utumiaji wa chanjo za Moderna na AstraZeneca

1643253
Japan yaidhinisha utumiaji wa Moderna na AstraZeneca

Japan imeidhinisha utumiaji wa chanjo za Moderna na AstraZeneca.

Kulingana na habari katika shirika la habari la Kyodo, idadi ya chanjo za Covid-19 zilizoidhinishwa na serikali kwa matumizi zimeongezeka hadi 3.

Serikali imeruhusu utumiaji wa chanjo za Covid-19 zinazozalishwa na kampuni ya Marekani ya Moderna na kampuni ya Britra-Sweden ya AstraZeneca.

Japan, inakusudia kukamilisha usambazaji wa chanjo kwa idadi ya watu wote katika nusu ya kwanza ya mwaka huu.


Tagi: #Japan , #chanjo

Habari Zinazohusiana