Shambulizi Iraq

Shambulizi la DAESH

1632005
Shambulizi Iraq

Watu 3 wameuawa na 2 kujeruhiwa katika shambulizi lililofanywa na kundi a kigaidi la DAESH huko Kirkuk, Iraq.

Kulingana na habari kutoka Erbil, kundi la kigaidi la DAESH lilishambulia vikosi vya Serikali ya mkoa wa Kikurdi wa Peshmerga karibu na mji wa Altunköprü.

Nuri Heme Ali, Afisa wa Kikosi cha Mbele cha Kirkuk Magharibi mwa Peshmerga, alitangaza kuwa Peshmerga 3 walipoteza maisha na 2 kujeruhiwa katika mzozo uliotokea baada ya shambulizi hilo.


Tagi: #Iraq , #DAESH

Habari Zinazohusiana