Wanajeshi wa Israel wawakamata Wapalestina

Vikosi vya Israeli vimewakamata Wapalestina 18

1597445
Wanajeshi wa Israel wawakamata Wapalestina

Vikosi vya Israeli vimewakamata Wapalestina 18 katika uvamizi wa sehemu mbali mbali za Ukingo wa Magharibi na Jerusalem ya Mashariki.

Katika taarifa iliyoandikwa na kutolewa na Chama cha Wafungwa wa Palestina, imeripotiwa kuwa wanajeshi wa Israel walivamia sehemu za Ukingo wa Magharibi majira ya usiku.

Ineripotiwa kuwa Wapalestina 12 wamekamatwa kwa tuhuma mbali mbali katika uvamizi huo.

Kwa upande mwingine, kulingana na habari katika shirika rasmi la habari la Palestina WAFA, ilibainika kuwa polisi wa Israel wamewakamata Wapalestina 6 kutoka eneo la Beit Dakkus la Jerusalem Mashariki na Kambi ya Wakimbizi ya Suafat.Habari Zinazohusiana