Mlipuko nchini Syria

Watu 18 wamefariki kutokana na mlipuko katika mgodi

1597399
Mlipuko nchini Syria

Watu 18 wamefariki kutokana na mlipuko wa mgodi mashariki mwa mkoa wa Hama, ambao uko chini ya utawala wa serikali ya Bashar al-Assad.

Kulingana na wakala wa utawala SANA, mabomu mawili yalilipuka katikati mwa nchi, katika wilaya ya Vadi al-Azip wilayani Selemiyye mashariki mwa mkoa wa Hama.

Taarifa hiyo imeripoti kuwa watu 18 wamefariki na wengine watatu wamejeruhiwa kutokana na mlipuko huo.

Eneo hilo liko chini ya Assad na majeshi ya Iran.Habari Zinazohusiana