Mabango ya "Love Erdoğan" nchini Bosnia

Tangazo la "Love Erdoğan" lachapishwa kwenye mabango mjini Sarajevo nchini Bosnia Herzegovina

1595947
Mabango ya "Love Erdoğan" nchini Bosnia

Tangazo la "Love Erdoğan" lilionyeshwa kwenye mabango huko Sarajevo, mji mkuu wa Bosnia Herzegovina, ili kuonyesha upendo kwa Rais Recep Tayyip Erdoğan.

Mabango hayo ya tangazo yaliyowekwa katika maeneo tofauti ya mji mkuu kama vile Mladih na Sara, yalionyesha ujumbe wa "Love Erdoğan" kujibu mabango ya kundi la kigaidi la Fetullahçı (FETÖ) dhidi ya Uturuki na kukashifiwa.

Tangazo la kundi la FETÖ lililowekwa kwenye skrini ya dijitali katika eneo la karibu na Times Square huko Manhattan, ilisababisha maandamano ya ukosoaji na Kamati ya Uendeshaji ya Marekani ya Uturuki (TASC) pamoja na raia wa jamii ya Kituruki, ambapo baadaye liliondolewa.Habari Zinazohusiana