Maambukizi ya virusi vya corona upande wa Mashariki

Idadi ya watu waliopoteza maisha ulimwenguni kwa sababu ya corona imezidi milioni moja

1518432
Maambukizi ya virusi vya corona upande wa Mashariki

Idadi ya watu waliopoteza maisha ulimwenguni kwa sababu ya corona imezidi milioni moja 186,000. Idadi ya kesi imezidi milioni 45 na 348,000, na idadi ya wale waliopona milioni 32 na 996,000.

Idadi ya vifo kutoka kwa Covid-19 nchini India imefikia 121,131. Idadi ya walioambukizwa nchini humo imeongezeka hadi milioni 8 na 88,000.

Upotezaji wa maisha kutokana na virusi vya corona  nchini Iran umeongezeka hadi 34,113 na idadi ya kesi imefikia 596,941.

Idadi ya vifo vya corona nchini Urusi imeongezeka hadi 27,301 na idadi ya kesi imefikia 1,581,000.

Idadi ya watu waliopoteza maisha nchini Iraq imeongezeka hadi 10,815. Idadi ya kesi nchini humo imefikia 467,755.Habari Zinazohusiana