Magaidi wa PKK washambuliwa Iraq

Magaidi sita, wanachama wa kundi la kigaidi la PKK, ambao walikuwa wakitayarisha hatua za mashambulizi

1516714
Magaidi wa PKK washambuliwa Iraq

Magaidi sita, wanachama wa kundi la kigaidi la PKK, ambao walikuwa wakitayarisha hatua za mashambulizi katika mkoa wa Zap na Gara kaskazini mwa Iraq, wameangamizwa katika operesheni ya anga.

Katika taarifa iliyotolewa kwenye Twitter na Wizara ya Ulinzi ya Kitaifa, imeelezwa kuwa operesheni dhidi ya kundi la kigaidi la PKK zinaendelea.

Taarifa hiyo imesema,

"Magaidi 6 wa PKK, ambao walitambuliwa na zana za upelelezi na ufuatiliaji katika mkoa wa Zap na Gara kaskazini mwa Iraq na amabo walikuwa wakidhamiria kufanya mashambulizi wameangamizwa katika operesheni ya anga."Habari Zinazohusiana