Marekani yazitaka Armenia na Azerbaijan kusitisha mapigano

"Suluhisho pekee ni mazungumzo"

1500537
Marekani yazitaka Armenia na Azerbaijan kusitisha mapigano

Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya (EU) Charles Michel amefanya mazungumzo na Rais wa Azerbaijan Ilham Aliyev na Waziri Mkuu wa Armenia Nikol Pashinyan na kutaka kusitishwa kwa mapigano kati ya nchi hizo mbili.

Katika kurasa zake kwenye mtandao wa kijamii, Michel ametoa taarifa kuwa amezungumza kwa njia ya simu na Aliyev na Pashinyan.

Akielezea kuwa ana wasiwasi sana juu ya kuongezeka kwa mvutano huko Nagorno-Karabakh, Michel amesisitiza kwamba analaani utumiaji wa vurugu na kuhimiza kusitishwa kwa vita haraka iwezekanavyo.

"Suluhisho pekee ni mazungumzo.",  alisema Michel akiunga mkono kazi ya Shirika la Usalama na Ushirikiano barani Ulaya (OSCE) na kwamba raia wanapaswa kulindwa.Habari Zinazohusiana