Shirika la TIKA la Uturuki latoa msaada wa mayatima nchini Afghanistani

Shirika la   kutoka misaada la Uturuki kwa jina la TİKA limetoa msaada kwa mayatima nchini Afghanistani

1494109
Shirika la TIKA la Uturuki latoa msaada wa mayatima nchini Afghanistani

Shirika la   kutoka misaada la Uturuki kwa jina la TİKA limetoa msaada kwa mayatima nchini Afghanistani.

Msaada huo ni pamoja na vifaa tofauti ambavyo ni mahitaji katika kitengo kimoja ambacho kinalea watoto yatima.

Msaada huo umetolewa katika   mkoa wa Sari Pul Kaskazini mwa Afghanistani.

Uongozi wa shirika la TİKA  Mezari Sharif,  umefahamisha kwamba  vitando   na vifaa vingine ambavyo ni muhimu katka msimu wa baridi ambao unakaribia  ni miongoni mwa vitu ambavyo vimetolewa msaada katika kituo hicho cha leo watoto hao  yatima.

Msaada huo umetolewa kwa ajili ya kikidhi mahitaji ya watoto yatima 60 katika kituo hicho.

Shirika la TİKA limefahamisha kwamba watoto wanatakiwa kuishi kama watoto  wakiwa na furaha na matumaini.

 Habari Zinazohusiana