Shambulizi dhidi ya raia Afghanistan

Raia mmoja ameuawa katika shambulizi la bomu katika mkoa wa Uruzgan nchini Afghanistan.

1486410
Shambulizi dhidi ya raia Afghanistan
Raia mmoja ameuawa katika shambulizi la bomu katika mkoa wa Uruzgan nchini Afghanistan.

Msemaji wa Gavana wa Uruzgan Zilgey İbadi amesema kuwa bomu lililotegwa kando ya barabara katika wilaya ya artinartu lililipuka wakati gari lililokuwa limebeba raia lilipopita katika mkoa huo.

Raia moja ameuawa na raia mwingine amejeruhiwa katika shambulizi hilo.

Mpaka hivi sasa hakuna mtu aliyedai kuhusika na shambulizi hilo.
 


Habari Zinazohusiana