Shambulizi dhidi ya maafisa usalama Afghanistan

Maafisa Usalama watatu wamepoteza maisha katika shambulizi la Taliban nchini Afghanistan.

1482297
Shambulizi dhidi ya maafisa usalama Afghanistan

Maafisa Usalama watatu wamepoteza maisha katika shambulizi la Taliban nchini Afghanistan.

Kulingana na taarifa iliyotolewa mnenaji wa Utawala wa Paktiya Abdul Rahman Mangel, maafisa hao wameuawa na wanamgambo wa Taliban katika shambulizi lililofanywa kwenye kituo cha polisi mkoani Paktiya.

Mlinzi mmoja ameripotiwa kujeruhiwa.

 Habari Zinazohusiana