Watu 17 wamefariki katika mlipuko nchinini Afghanistan

Watu  17 wameripotiwa kufariki katika mlipuko uliotokea nchini Afghanistan

1477717
Watu 17 wamefariki katika mlipuko nchinini Afghanistan


Watu  17 wameripotiwa kufariki katika mlipuko uliotokea nchini Afghanistan.

Watu 17 wameripotiwa kufariki katika mlipuko uliotokea katika mji wa Gazne nchini Afghanistan.

Msemaji wa  uongozi wa jimbo la Gazne Vahidullah amesema  kupitia vyombo vya habari kuwa  bomu  ambalo lilikuwa limetegwa  kandokando ya barabara limelipuka karibu na  gari  la uchukuzi wa umma katika eneo  hilo.

Watu  17 waliouawa  miongoni mwao wamo watoto 7.

Tukio hilo limetokea Ijumaa.

Hakuna mtu wala kundi ambalo limejinasibu  kuhusika na  tukio hilo.Habari Zinazohusiana