Shambulizi  dhidi ya kikosi cha Polisi Gazne nchini Afghanistan

Askari wawili   nchini Afghanistan wamefariki katika  shambulizi mkoani Ghazni.

1473929
Shambulizi  dhidi ya kikosi cha Polisi Gazne nchini Afghanistan

Askari wawili   nchini Afghanistan wamefariki katika  shambulizi mkoani Ghazni.

Msemaji wa serikali   katika jimbo la Ghazni nchini  Afghanistan amefahamisha kwamba wanajeshi wawili  wameuawa  katika  shambulizi  la kuvizia.

Vahidullah Cumazadah amelaani kitendo hicho ambacho amesema kuwa waliohusika  na kitendo hicho  wataghadhibiwa kulingana na hasara waliosababisha.

Hakuna mtu yeyote  ambae amejinasibu kuhusika na tuki hilo huku wanamgambo wa kundi la Taliban wakishukiwa kuhusika na tukio hilo.Habari Zinazohusiana