Watu zaidi  ya  190 wamefariki katika mafuriko nchini Bangladesh

Watu zaidi ya 190 wamefariki nchini Bangladesh kutokana na mvua kali zilizosababisha mafuriko

1472165
Watu zaidi  ya  190 wamefariki katika mafuriko nchini Bangladesh


Watu zaidi ya 190 wamefariki nchini Bangladesh kutokana na mvua kali zilizosababisha mafuriko.

Nchini Bangladesh , watu  198 wameripotiwa kufariki kutokana na mvua kali mbazo zimesababisha mafuriko nvhini humo kwa muda wa siku kadhaa.

Serikali ya Dhaka imetoa taarifa kwamba mvua zilizopelekea mafuriko nchini  humo zimepelekea uharibifu wa mali na miundomibnu na kusababisha maafa.

Watu 7  wamefariki katika mafuriko yaliotokea Jumatano  na kupelekea idadi ya watu waliofariki kufikia watu  198.

 Mvua kali zamevyesha nchini  humo tangu Juni 30 zimepelekea uharibifu mkubwa.
Mvua hizo zimepelekea uharibfu wa mazao ambalo ni hekariz aidi ya  34 140 katika eneo la Rajshahi.

Watu zaidi ya  4000 wamelazimika kuyahama makazi yao  wakihofia  maisha yao.

Serikali imeandaa maeneo zaifi ya 100 kwa ajili ya  kutoa hifadhi kwa watu ambao wamepotea makazi yao.

Kamanda wa jeshi la Polisi  Muhammad al Maruf amesema kwamba zaidi ya vijiji  313  vimeathirika na mvua hizo.
 Habari Zinazohusiana