Shambulizi la bomu Afghanistan

Raia wanne wamepoteza maisha katika shambulizi la bomu katika mkoa wa Kandahar kusini mwa Afghanistan.

1472554
Shambulizi la bomu Afghanistan

Raia wanne wamepoteza maisha katika shambulizi la bomu katika mkoa wa Kandahar kusini mwa Afghanistan.

Msemaji wa Idara ya Polisi ya Kandahar, Cemal Nasır Barikzey, amewaambia waandishi wa habari kwamba bomu la barabarani lilitegwa katika kijiji cha Zela Han wilayani Pancvayi Kanda, na kulipuka wakati gari lililokuwa limebeba raia lilipopita katika eneo hilo.

Akisisitiza kwamba raia 4 wamepoteza maisha katika shambulizi hilo, Barikzey amesema kuwa raia 6 wamejeruhiwa.

Mpaka hivi sasa, hakuna mtu amedai kuhusika na shambulizi hilo.Habari Zinazohusiana