Rais wa Uturuki azungumza na Bi Angela Merkel

Rais wa Uturuki azungumza na Kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel

1472479
Rais wa Uturuki azungumza na Bi Angela Merkel


Rais wa Uturuki azungumza na Kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel.

Rais wa  Uturuki Recp Tayyıp Erdoğan azungumza  kwa njia ya simu na Kansela wa Ujeurmani Bi Angela Merkel .

Katika mazungumzo yao viongozi hao wamejadili kuhusu ushirikiano uliopo kati ya Uturuki na Ujerumani.

Taarifa kutoka ikulu ya rais  mjini Ankara zimefahamisha kuwa viongozi hao wamejadili kuhusu hali iliopo katika ukanda wa Mediterania na masuala mengine tofauti ya kikanda.

Kitengo kinachohusika na mawasiliano  ikulu  kimefahamisha kuwa  rais Erdoğan katika mazungumzo yake na  kansela wa Ujerumani  Bi Angela Merkel  kuhusu usawa katika  ukanda wa Mediterania na njia ya mamzungumzo ndio njia pekee ambayo itapelekea kufikia katika muafaka.

 Habari Zinazohusiana