Rais Erdoğan azungumza na Charles Michel kuhusu Mediterania

Malengo yetu ni kuhakikisha kwamba  haki  ya kila mmoja wetu inaheshimika katika ukanda wa Mediterania Mashariki

1472509
Rais Erdoğan azungumza na Charles Michel  kuhusu Mediterania

Malengo yetu ni kuhakikisha kwamba  haki  ya kila mmoja wetu inaheshimika katika ukanda wa Mediterania Mashariki.

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoüan asema kwamba malengo ya Uturuki ni kuhakikisha kuwa haki ya kila taifa katika Ukanda wa Mediterania Mashariki  inaheshimika.

Kwa mujibu wa rais Erdoğan, mpango huo wa kuheshimisha haki kwa kila taifa katika ukanda wa  Mediterania Mashariki  haina haja ya kujadiliwa bali ni ambo ambalo lipo wazi kwa kuwa kila taifa katika ukanda huo lna haki bila ya kujadiliwa.

Rais Erdoğan  amezungumza  kwa njia ya simu na  katibu wa baraza la Ulaya Charles Michel.

Hali inayoendelea katika ukanda wa Mediterania  Mashariki  na  masuala  tofauti  katika ukanda  yamezungumzwa  na viongozi hao rais Erdoğan  na Charles Michel.Habari Zinazohusiana