Watu 7 wamefariki katika shambulizi nchini Afghanistan

Watu 7 wameripotiwa  kufariki katika shambulizi nchini Afghanistanistan

1468191
Watu 7 wamefariki katika shambulizi nchini Afghanistan


Watu 7 wameripotiwa  kufariki katika shambulizi nchini Afghanistanistan.

Watu 7 wamefariki katika mlipuko wa bomu uliotokea  mkoani Nimruz  Magharibi mwa Afghanistani.

Bomu hilo limelipuka  katika barabara  inayounganisha mji wa Hasrud na Nimrud.
Jeshi la Polisi  limefahamisha kwamba  raia 7 ndio wamefariki katika mlipuko huo .

Hakuna mtu yeyote ambae amejinasibu kuhusika na tukio hilo.Habari Zinazohusiana