Shambulizi la silaha na bomu Afghanistan

Maafisa usalama 7 na raia 1 wamepoteza maisha katika shambulizi la silaha na bomu lililofanywa na wanamgambo wa Taliban k

1467753
Shambulizi la silaha na bomu Afghanistan

Maafisa usalama 7 na raia 1 wamepoteza maisha katika shambulizi la silaha na bomu lililofanywa na wanamgambo wa Taliban katika jimbo la Belh kaskazini mwa Afghanistan.

Msemaji wa Idara ya Polisi ya Belh, Adılşah Adıl, amesema katika taarifa kwamba wanamgambo hao walifanya shambulizş la kijeshi baada ya gari lenye silaha lililokuwa limebeba vikosi vya usalama kugonga bomu la barabarani ambalo lilikuwa limetegwa barabarani katika eneo la Alem Hil mkoa wa Belh.

Akisisitiza kwamba maafisa usalama 7 na raia 1 wameuawa katika shambulizi hilo, Adıl amesema kuwa raia 6 walijeruhiwa.

Kundila Taliban nalo limepoteza baadhi ya wanamgambo wakekatika shambulizi hilo.

Hakuna maelezo yoyote ambayo yametolewa na Taliban kuhusiana na mlipuko huo.Habari Zinazohusiana