Vifo kutokana na maporomoko vyaongezeka Japan

Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mafuriko na maporomoko ya ardhi katika mkoa wa Kyushu kusini magharibi mwa Japan imeongezeka hadi 63.

1453193
Vifo kutokana na maporomoko vyaongezeka Japan

Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mafuriko na maporomoko ya ardhi katika mkoa wa Kyushu kusini magharibi mwa Japan imeongezeka hadi 63.

Mikondo ya maji na mito 92 vilifurika katika majimbo 10 tofauti, ukiwemo mkoa wa Kyushu.

Mafuriko yalisababisha baadhi ya madaraja kuanguka, miti kupinda, barabara kuharibika, na maelfu ya nyumba kujaa maji.

Idadi ya watu waliokufa katika mafuriko na maporomoko ya ardhi katika majimbo yote, haswa katika mkoa wa Kumamoto, imeongezeka hadi 63.

 Habari Zinazohusiana