TRT World Forum :  “Miaka 25 tangu  mauaji ya kimbari ya Srebrenitsa "

Mpango wa kuzungumza  kwa njia ya mfumo wa kisasa kuhusu  mkutano wa kituo cha habari cha Uturuki cha TRT World  kufanyika kwa kipindi cha wiki moja na waarifiwa maalumu

1450713
TRT World Forum :  “Miaka 25 tangu  mauaji ya kimbari ya Srebrenitsa "


Mpango wa kuzungumza  kwa njia ya mfumo wa kisasa kuhusu  mkutano wa kituo cha habari cha Uturuki cha TRT World  kufanyika kwa kipindi cha wiki moja na waarifiwa maalumu  katika kumbukumbu ya miaka  25 tangu kufanyika kwa mauaji ya Srebrenitsa, mauaji ya kimbari ambayo tabaka moja katika jamii lililenga kuhilikishwa.

Mauji ya kimbari ya Srebrenitsa   ni watu wasiopungua  8000 wenye asili ya Bozinia waliuawa  makundi kwa makundi,  ni mauaji ambayo  haki za binadamu, uhalifu wa kivita ambavyo ndio mada kuu ambazo zitazungumiziwa katika mjadala.

Kipindi cha kwanza kwa mfumo wa kisasa ambacho kimeandaliwa na shirika la habari la Uturuki TRT World Forum, mkutano huo utaoneshwa moja kwa moja katika  kurasa zake katika mitandoa ya kijamii kama YouTube, Twitter na Facebool kuanzia saa mbili    usiku majira ya Uturuki.

Mjadala huo  utaanza kwa jina la "Srebrenitsa, kutolewa kwa siri na tuhuma  miaka 25 baada ya maamuji ya kimbari"

Katika mjdala huo, shirika la kumbukumbu la Srebrenitsa kiongozi wake Daktari Waqar Azmi atakuwa  kama muongozaji katika mkutano huo.

Katika mkutano huo masuala tofauti  ya kimakati kuhusu mauaji hayo ya kimbari yatajadiliwa ikiwa pamoja na  maridhiano, mikakati ya wael ambao wanakana  mauaji ya kimbari na masuala mengine ambayo ni kizingiti katika   jitihada za maridhiano yatajjadiliwa.

Mjadili na  majadiliano  kuhusu mauaji hayo  utafanyika kwa muda wa wiki moja :

Julia  8 , Jumatano kuanzia saa mbili usiku 

Daktari Nevenka Tromp Vrkic kutoka katika chuo kikuu cha Amsterdam " Mahakama ya kimataifa  kuhusu Yugoslavia dhidi ya uhalifu wa kivita"

Julai  10 Alkhamis saa moja usiku 

" Jukumu la Umoja wa Mataifa kulinda usalama Srebrenitsa" Toby Cadmam,  mshirika katika  vyumba vya kimataifa kwa ajili ya haki  (Guernica 37).

Julai  10  Ijumaa  saa mbili usiku

"Ni vipi vyombo vya sheria vya kimataifa vimeshindwa   katika  suala zima la Srebrenitsa?" Mwalimu Geoffrey Nice  

Geoffrey Nice alikuwa  muendesha amshtaka wa zamani wa rais wa zamani wa Yougoslavia Slobodan Milosevic ambae alihukumiwa mauaji ya  na uhalifu wa kivita Yugoslavia ya zamani.

Julia 11 Jumamosi  saa mbili usiku

"Vita vya Boznia na mauaji ya kimbari ya Srebrenitsa", mkurugenzi  wa kamisheni ya kimataifa ya watu waliopotea Kathryne Bomberger.
Washiriki wanaweza kufuatikia  mjadala kupitia mitandoa ya kijamii katika kurasa wa TRT Worl Forum; 

Youtube: @trtworldforum
Facebook: @trtworldforum
Twitter: @trtworldforum

Ni kipi kilichotokea Srebrenitsa?

Baada ya jeshi la Serbiia kuteka eneo la Mashariki mwa Srebrenitsa chini ya uongozi wa kamanda Ratko Mladic  mnamo Julia  11  mwaka  1995, raia wa Bozinia walikimbilia kwa jeshi la Uholanzi ambalo lilikuwa katika kutekeleza wajibu wake katika kikosi cha Umoja wa Mataifa baada walikabidhiwa kwa waserbia.

Waliuawa kwa kufayatuliwa risasi na watu zaidi ya  8 372  waliuawa  na kuzikwa katika  makaburi ya halaiki katika  maeneo tofauti.

Watoto na wanawake pia ni miongoni mwa watu waliouawa.

Baada ya vita na mauaji hayo, miili ya wahanga ilianza kutafutwa na kupatikana  katika makaburi hayo na kila ifikapo Julia 11  huandaliwa hafla ya kumbukumbu  Potoçari.Habari Zinazohusiana