Virusi vya corona barani Afrika na Mashariki ya Kati

Idadi ya watu ambao wamekwishafariki kutokana na maambukizi ya virusi vya corona ulimwenguni yafikia watu   zaidi ya  522 000

1448100
Virusi vya corona barani Afrika na Mashariki ya Kati

Idadi ya watu ambao wamekwishafariki kutokana na maambukizi ya virusi vya corona ulimwenguni yafikia watu   zaidi ya  522 000 huku idadi ya watu walioambukiwa  virusi hivyo ikiripotiwa kufikia watu   milioni 11.

Vile vile ripoti za afya kwa ujumla ni kwamba watu   milioni  6,11 wamepona covid-19 baada ya kupatiwa maambukizi.

Nchini Algeria , watu wanane wamefariki na kupelekea idadi ya vifo kutokana na covid-19 kufikia watu  928.

Idadi ya kesi imefikia watu  14 657.

Nchini Oman, watu   watatu wamefariki ndani ya msaa  24 na kupelekea idadi ya vifo kufikia watu  1361 ambao wamefariki kwa covid-19.

Nchini Bahrein, watu watatu  wamefariki n akupelekea idadi ya vifo kufikia watu  93.

Nchini Qatar,  watu watatu wamefariki, watu  894  wameambukiwa virusi hivyo.

Watu ambao wamekwishafariki kutokana na virusi vya corona imefikia watu  118.

Nchini Kuweit, watu  359 ndio ambao wamekwishafariki huku idadi ya watu waloambukiwa ikitajwa kuwa watu  47859.

Nchini Moroko, idadi ya vifo imefikia watu    watu  19 333.

Nchini Tunisia, watu  50  wamefariki .Habari Zinazohusiana