Watu zaidi ya 50 wamefariki Myanmar kwa maporomoko ya ardhi

Watu  zaidi ya 50 wamefariki katika maporomoko ya ardhi nchini Myanmar

1447616
Watu zaidi ya 50 wamefariki Myanmar kwa maporomoko ya ardhi


Watu  zaidi ya 50 wamefariki katika maporomoko ya ardhi nchini Myanmar.

Maporomoko ya ardhi   nchini Myanmar yamepelekea vif vya watu zaidi ya  50.
Tukio hilo limetokea  katika mgodi   mmoja wa madini  katika mkoa wa Kain.

Kulingana na taarifa mabzo zimetolewa na kikosi cha uokozi Myanmar, watu wasiopungua 50 wamefariki katika ajali hiyo.

Miili ya watu hao walofariki imeokolewa na kuhifadhiwa  katika eneo la Hpakan kwa ajili ya kuandaa mazishi.

Ajali hiyo imetokea katika kipindi ambacho  hakuna mvua nyingi.

Serikali imewatolea wito wachimba migoni kuwa makini na kuchukuwa tahadhari  wanapokuwa katika migodi.

 

 Habari Zinazohusiana