Coronavirus: Watu zaidi ya  milioni  10,7 wameambukiwa  ulimwenguni

Watu zaidi ya milioni 10,7 wameambukiwa virui vya corona ulimwenguni

1447600
Coronavirus: Watu zaidi ya  milioni  10,7 wameambukiwa  ulimwenguni

Idadi ya watu ambao wamekwishaambukiwa virusi vya corona ulimwneguni, iidadi yake imeripotiwa kufikia watu  milioni  1,7 n huku watu ambao wamefariki idadi yake pia imeripotiwa kuongezeka.

Idadi ya vifo kutokana na maambukizi ya virusi vya corona ulimwenguni imefikia watu 519272.

Watu  milioni 6.4 wamepona maambukizi ya virusi hivyo baada ya kupatiwa matibabu.

Nchini Marekani, watu  zaidi ya 130 798 wamefariki na visa  2 779 000.

Ripoti  ya  kitengo cha utafiti na makadirio kimesema kuwa  watu  watatu miongoni mwa watu  10 wenye asili ya bara  la Asia ni waathirika wa ubaguzi kutokana na virusi vya corona.

Nchini Brasil , watu  60632 wamekwishafariki kutokana na maambukizi ya virusi hivyo ambapo watu  1038 wameripotiwa kufariki ndani ya masaa  24 yaliopita.

Watu  1 448 753 wameambukiwa virusi vya corona baada ya kesi mpya kufahamishwa kuwa watu  46 712 nchini humo.

Nchini Italia, idadiya vifo imefikia watu  34788 baada ya watu 21 kufariki ndani ya masaa 24.

Nchini Ufaransa,  watu  29861  wamefariki  kwa covid-19 , idadi hiyo ya vifo imeongezeka baada ya watu  18 kufariki ndani ya masaa  24.

Uhispania, watu  19 wamefariki ndani ya masaa  24 na kupelekea idadi ya watu ambao wamefariki kutokana na maambukizi ya  corona.

Barani Afrika pia wito wa kuheshimu maagazo ambayo yanatolewa kwa ajili ya kujikinga na maambukizi  ya covid-19.Habari Zinazohusiana