Fayiz es-Serrac azungumza na  waziri mkuu wa Italia

Waziri mkuu wa Libya azungumza na waziri mkuu wa Italia Giuseppe Conte

1444533
Fayiz es-Serrac azungumza na  waziri mkuu wa Italia

Waziri  mkuu wa Libya Fayiz as Sarraj azungumza na waziri mkuu wa Italia Giuseppe Conte  katika ziara aliofanya mjini Roma nchini Italia.

Katika  taarifa iliotolewa na ofisi ya waziri  mkuu wa Italia imefahamisha kuwa   viongozi hao katika mazungumzo yao sauala zima kuhusu ushirikiano katika sekta ya ulinzi  na mbinu za kufikia katika  amani ya kudumu nchini Libya.

Vile vile mazungumzo kuhusu  mchakato wa demokrasia   kwa ajili ya utulivu  yamefanyika.

Kwa upande wake waziri  mkuu wa Libya amesema kuwa  suluhisho la  mzozo wa Libya litapatikana  kwa mazungumzo na makubaliano ya kisiasa  na sio kwa  kutumia silaha.

Waziri mkuu huyo wa Libya ameyasema hayo akionesha uzito wa maamuzi ya  baraza la usalama la Umoja wa Mataifa na mkutnao wa Berlin nchini Ujerumani.

Libya ya Italia zimeafikia kushirikiana katika zoezi la kutegua vilipuzi vilivyoachwa na wanajeshi wa Jenerali Khalifa Haftar.Habari Zinazohusiana